FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Kila la heri timu yetu ya wananchi.
Mpaka sasa tupo juu ya malengo kwenye CAF CL na haya ni mafanikio kuelekea mechi ya leo.
πŸ’š Kufuzu kucheza hatua ya makundi(lengo kuu)
πŸ’›kutinga hatua ya robo fainali
Hatuna cha kupoteza mpaka sasa tupo ndani ya malengo yaliyotimizika 100%

πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›YANGA FOREVERπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Leo Mamelodi sundown watapigwa kama Ngoma....

Wale mashabiki wa Ubuntu Botho tafuteni timu ya kushangilia nusu fainali ..

Yanga 3 Mamelodi 1
 
Costa piga hakuna kipa pale ni pazia
UBUNTU BOTHO forever πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hii mechi Kolo FC walikuwa wameisubiri kuliko mechi yao, waliyo kalia kidude. Kama kawaida tuna wakaribisha na jezi zenu zq Mamelod mlizo zinunua zaidi wiki mbili, karibuni mumuone mwanaume.

Ila tutakumbushana Uarabuni hamna meza,maswala ya kupindua meza hamna,kule kuna majamvi so jiandaeni kukunjwa mechi ya marudiano.

Karibuni taifa najua mtajifunza kitu kupitia kwa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…