FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

ila wachezaji wa mchangani bwana ukute apo ata mechi tu za umiseta hujawah cheza saizi unajifanya eti ungefunga Goli kwenye mechi kubwa kama hii mzee hii sio Ndondo wala Cha Ndimu hii ni CAF champions leauge
angalizo, mwaka 2006 nilifunga penati kama ya zidane ile panenka ya world cup yaani baada ya mechi kesho yake nikaiga nikafunga,na hiyo ya kukatisha mbele ya beki nimefanya mara nyingi nilijifunza kwa javier saviola wa barcelona enzi hizo.huwa nacheza mpira huko mchangani nikitoka nje napata machawa kama wote
 
Mashabiki feki wa Mamelodi na mijezi yao chaliii!! 😁

Hii mechi ina faida kubwa sana kwa Yanga ukilinganisha na mdogo wake mbumbumbu fc. Maana ngoma bado ni mbichi kabisa kwa pande zote mbili.
Yanga tulikuwa tunatishwa kila Kona ,kuisha kwa mechi hii sasa WanaYanga amani tele Makolo hawaani macho Yao.
 
Kama jana CCM FC a.k.a Mangungu Jobe FC ilivyokuwa inaomba mechi iishe. πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…
Simba waliishika mechi Jana acha ushabiki maandazi.

Leo Yanga kupata sare ni ushindi mtaenda Kufa kiume huko South Africa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…