FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Mtani Leo shalulile alicheza ?
Alichezaaa ila kwa tahadhari ili asiumie, akawaue vzur huko Petrolia, maana alishaona Alliende nusu lomalisa amvunje miguu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni knock out stage, kila mtu anacheza kwa tahadhari, mbinu na malengo ndo muhimu.
Mamaa jana ulikua kimya wewe nimekushobokea sanaa😂😂😂😂.
Basi kama kucheza kimbinu leo Yanga alifanikiwa.Maana licha ya Mamelodi kumiliki mpira ila ana mashuti machache ya kulenga lango na Yanga ana mashuti mengi ya kulenga lango.
Pia licha ya key players watatu kukosekanika Yanga imehimili mziki wa Mamelodi.
Nadhani umetizama mpira umeona mwenyewe.
Mamelodi imeishia kupiga sana back pass.
 
Alichezaaa ila kwa tahadhari ili asiumie, akawaue vzur huko Petrolia, maana alishaona Alliende nusu lomalisa amvunje miguu. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata game na Petro ilikuwa hivi hivi na shalile ndani 😁🤣😂 yaani Hawa wanaToa sare na piramid kwao wanifunge mie
 
Hivi mechi ya Esperance vs ASEC ni leo saa sita usiku au kesho saa sita usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…