I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Tukikaza kama msemo wetu ule, tunaweza chomoka na goli mbili. Inshallah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😁Kumbe kulikuwa na mashindano [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Nasisi tulisema hivyo hivyoYanga tucheze ball vizuri, Mamelodi wanafungika
Kila la heri wananchi
Jana nilimuwahi! alichelewa ndio maana hakuunganisha nyuzi, akafuta ile iliyomtangulia.🤣😁😁😁Kama wewe jana mukubwa 😁
Nyie timu hamna mna wazee waomba juiceNasisi tulisema hivyo hivyo
🤣😁😁😁Jana nilimuwahi! alichelewa ndio maana hakuunganisha nyuzi, akafuta ile iliyomtangulia.
Huoni leo amewaunganisha wote hapa. 😂😂😂
Sisi tunashida sana kwenye straiker na kiungo leo ilikaa vibaya,Nasisi tulisema hivyo hivyo
Kwenye ball, anything can happenMnaenda kutoka
Ngumu sana Sisi tupoteze nyie mshinde.Tukikaza kama msemo wetu ule, tunaweza chomoka na goli mbili. Inshallah!
Sio kwa wazee wa ile timu yenu😂🤣😁Kwenye ball, anything can happen
Ni wiki ijayo tu! Muda utaamua.Sio kwa wazee wa ile timu yenu😂🤣😁
Wataishia kukimbia hapo baadaeYale majamaa yatajazana humu kujiipoza machungu.
Mmmh muanzisha uzi ana gundu. Ungeishia kuanzisha uzi wa makolo tu