FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

ya kwako jana yamekushin
Mimi ni yanga damu huoni avatar yangu ni Ibrah Bacca. Ila nilichofanya nimeshusha expectations zangu katika mechi ya leo. Wanasema Expectations is a root of all disappointments.... Prepare for the worst while waiting for the best.

Hiyo ni Defense mechanism nayoitumia ili kulinda maumivu ya moyo wangu pindi napotaraji kitu.
Niliingia na matarajio nmakubwa kwenye mechi ya kwanza dhidi ya medeama daah kidogo nizimie kwa presha, tulifungwa 3.

Msikilize Vanessa Williams anachosema... Save the best for the last.

View: https://youtu.be/5EdmHSTwmWY?si=FaVF8Y4zjNKrsKAb
 
Mapema kabisa uwanjani leo. Sio mechi rahisi ya kujihakikishia ushindi moja kwa moja, tahadhari na kucheza kwa mipango ni muhimu.

Kaka mzuri wangu kanitahadharisha kabisa nisiende na matokeo yangu uwanjani 🤣🤣

Mungu Ibariki Yanga, tupate ushindi!
Leo Chuma tatu kwa moja
 
20240330_151532.jpg
Picha ya baadae imevuja!😂💛💚
 
Back
Top Bottom