FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hii style ya passing Ya Mamelod imenishangaza kidogo, mpira unapigwa kwa nguvu hata kama wachezaji wapo karibu karibu.
Na wanapenda kucheza sana mpira kwenye eneo lao lengo lao yanga waje kukaba wengi ili wacheze quick counter attack ila Yanga wajanja wameshutukia mtegeo wao wanapenda kukabia kuazia katikati ya kiwanja
 
Sema watu mna roho ngumu,
Mechi kama ya Jana na Leo umekaa kabisa unaangalia dk zote 90???

Mimi nakaa nje kusikia tuu kelele.
 
Back
Top Bottom