zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
kuwa nyumbani na ku posses havina mahusiano mkuu
kama huamini kafatilie mechi za jose morinyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwa nyumbani na ku posses havina mahusiano mkuu
Mkala na kimoko kwenye dakika ya magoli matano mliyopigwa na Yanga..!!Mbayaaaaa,jana tumekula burudani sana
ni dhahiri wanafungika Taifa na vile vile wanafungika kwao, si wachoyo wala wagumu kuachia bao 🐒Ni waoga wa mechi hawa ngoja Okra aje awakimbize
Mpira haupo hivi. Wangekuwepo hao na approach ya mchezo ingebadilika kwa Sundown na Yanga.Kumbe mamelody wa kawaida sana, dah tusingekua na injury ya yaoyao,pacome na aucho! Hawa masanda wangeeleza kwanin Bata anaharisha maisha yake yote.
unammaind kichizi sioMtangazaji ana story huyu....kama sio mzaramo ni mluguru
sa si muwafunge kelele za nini?? 😃ni dhahiri wanafungika Taifa na vile vile wanafungika kwao, si wachoyo wala wagumu kuachia bao 🐒
wanajuta kudanganywa na SIMBWA ati wanakutana na yanga mbovu 🐒
Ananboa badala atangaze mpira anatia mastory 😏unammaind kichizi sio
akili ya mpira hanaMusonda Huyu Yuko Vizuri kwa leo
Yaanga wameacha Mpira sasa wameanza kucheza Judo na Karate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full tafraniiii.
HahahahahahahahYanga inalinda nini