FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Baada ya mechi zote 2 za Simba na Yanga , conclusion yangu ni kwamba Simba ameonesha uhai zaidi licha ya matokeo yake.

So Simba akicheza compact kama alivyojana Jana anaweza shinda mechi ya Al Ahly.

Ila Kwa upande wa Yanga ,safari Yao imeishia hapa ,kule wataenda kupunguza idadi ya magoli tuu.
Baki tu kwenye Uchawa!

Hujui ball
 
Mimi sio shabiki wa Yanga Wala Simba Huwa naangalia Mpira tuu.Ukweli ni kwamba Yanga hawsi Ngunga Mamelodi,Simba anaweza shinda kule maana statistics zinambeba.
We mpira umeanza kutizama lini?

Al Ahly unawajua wewe wakiwa kwao,hebu tafuta hata Statistics za mechi za Misri na 5imba uwaone ndugu zako wanavyo teseka.
 
Aisehh kumbe ndomana huyu ajuzah Leo aligawa kadi za bodabodah
Hahah mi5 tena kwa mama Abdul,mama bodaboda🤣🤣shule mwachie Nyerere na ukoo wake,sie mtaji kuruwanii yahee🤣🤣🤧
 
We mpira umeanza kutizama lini?

Al Ahly unawajua wewe wakiwa kwao,hebu tafuta hata Statistics za mechi za Misri na 5imba uwaone ndugu zako wanavyo teseka.
Uwe unanifhatilis Kila mechi ya Yanga na Simba wakicheza na timu za Nje.

Mkicheza wenyewe na timu za Bongo ambazo marefa wanawabeba Huwa siangalii na hata sijui chochote kwenye Ligi hiyo but huku naangalia vizuri Sana.
 
Back
Top Bottom