FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hakuna Cha kizamani Kwa sababu ni makosa ya wachezaji binafsi ndio yalifanya wasifinge.

Kwa hiyo Leo Mamelodi wamemiliki na hawajapata goli ni uzamani?
Wamezidiwa mbinu jombaa.

Hawakuruhusiwa kabisa kupata hiyo nafasi.
Tungecheza nao sisi kwa ile style ya jana.
Sijui ingekuwaje
 
Mimi sio shabiki wa Yanga Wala Simba Huwa naangalia Mpira tuu.Ukweli ni kwamba Yanga hawsi Ngunga Mamelodi,Simba anaweza shinda kule maana statistics zinambeba.
Acha upunguani we jamaa.
Mpira sio tambo za Mama samia.
Rudi kule kwenye mapambio huku hupawezi.
Yani nyumbani Simba afungwe halafu anende akashinde ugenini tena kwa Al ahly???
Hivi unawajua al ahly we jamaa wakiwa kwao?
Uliza Yanga hatua ya makundi walivyotubadilikia kule kwao.
Hujui mpira kaa kimya utawashwa makofi.
Hivi unajua mziki wa mamelodi na Yanga tukaongoza kwa SHOTS ON TARGET??
 
Mudaday imezimika kama kibatari sivyo?
FB_IMG_1711641656667.jpg

Tumekaza nyumbani tutawakaza kwao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huoni aibu udugu kusema hivyo?? Kweli kabisa macho makavu hujaona Yanga walivyokuwa wanacheza?? Au bado una wenge la wajukuu wa Farao [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu maneno ya nn lete takwimu hapa, au unadhani naangalia mpira kwa kudowea? Naangalia haswaa, leo had mzinze alikua beki afu useme mmecheza mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo chance za counter attacks bado mkabwanyaaa, woiiiiiih

Hata formation ya yanga leo uwanjani unaijua ilikua ipii? Uwiiiiih
 
Hakuna Cha kizamani Kwa sababu ni makosa ya wachezaji binafsi ndio yalifanya wasifinge.

Kwa hiyo Leo Mamelodi wamemiliki na hawajapata goli ni uzamani?
Usiwe punguani wewe.
Kwani kumiliki mpira ndio magoli?
Mbona kombe la dunia Portugal ilimiliki mpira zaidi ya asilimia 70 na Morocco ndio akashinda na kumtoa Portugal??
Mbona robo fainali world cup Spain aliongoza kwa posession na akatolewa na Morocco?
UNAJUA KITU KINAITWA CONVENTIONAL FOOTBALL??
YANGA KAZIDIWA POSESSION ILA KAONGOZA KWA SHOTS ON TARGET KAMA ANGEZITUMIA ANGEKUA MSHINDI.

HUJUI MPIRA
 
Uduguu maneno ya nn lete takwimu hapa, au unadhani naangalia mpira kwa kudowea? Naangalia haswaa, leo had mzinze alikua beki afu useme mmecheza mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo chance za counter attacks bado mkabwanyaaa, woiiiiiih

Hata formation ya yanga leo uwanjani unaijua ilikua ipii? Uwiiiiih
Takwimu hizi hapa
IMG_20240330_231455.jpg
 
Acha upunguani we jamaa.
Mpira sio tambo za Mama samia.
Rudi kule kwenye mapambio huku hupawezi.
Yani nyumbani Simba afungwe halafu anende akashinde ugenini tena kwa Al ahly???
Hivi unawajua al ahly we jamaa wakiwa kwao?
Uliza Yanga hatua ya makundi walivyotubadilikia kule kwao.
Hujui mpira kaa kimya utawashwa makofi.
Hivi unajua mziki wa mamelodi na Yanga tukaongoza kwa SHOTS ON TARGET??
Hili jamaa ni Yale mapunga yaliyojipa uchambuzi kuwafurahisha mabasha wao.
 
Yule mzee peter anachomekea Leo amevutishwa pumzi ya moto. Na Bacca!.
 
Yanga amecheza vizuri sana pamoja na kuwakosa nyota watatu bado waliocheza wamefata maelekezo hatari
Gamond ameonesha ni kocha mzuri sana nashangaa wanaotaka zaidi ya kilichofanyika
Kutowaheshimu Mamelody kungetugharimu sana na hii mashabiki wa try again waliotaka sana kimoyo moyo kuwa Yanga nayo ifungwe ila ndio hivyo class imeamua Yanga inaenda final
 
Mie nashangaa kuna mipunguani inaongea eti ooh mamelody kaongoza posession.
Mbona yanga kaongoza SHOTS ON TARGET??
Yanga leo kacheza conventional football yani kujilinda sana ila mashambulizi ya kushtukiza.
Ndio uone tofauti Mamelody licha ya kumiliki sana mpira ila golini kwa Yanga kafika mara chache.
 
Back
Top Bottom