FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Kwa kifupi DK zimebaki 15 tu
 
Mmekosa Goli kwenye Dakika 75, mpate kwenye DK 14?
Hesabuni suluhu.
Japonsio mbaya mnaongoza ligi kwa muda
 
Guede Boy mlisema alikuwa Ulaya?
 
Utaona DK zinaongezwa 6 wakati hakuna mahali mpira umesimama
 
Hakuna Goli hapo.
hamtaamini
 
Aziz k anafung kwa msaada wa pass ya Djugra djugraracana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…