FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Yanga winger zake, zinahitaji dawa.
Tunahitaji winger katili.
Gamond atulize kichwa, timu inaweza hii
 
Nimetoka Chamazi mida hii hapa.

Ku unlock [emoji356] mambo ya Utopwinyox...
Hadi mechi ndogo hivi wadau wanakamia gizani.
Safari hii naona mmebadili gia kutoka kwa Mangungu anahujumu timu, Scout ya Simba inahujumu timu hadi kufikia kwa Yanga unaloga. Kama kuloga ni kupata mafanikio basi wacha waendelee kuloga
 
Beki line ...... Huyu GiftyπŸ™„πŸ™„πŸ™„... Mzito sana wajameniiiiii... Anuary Jabiri anaweza kutuharibia siku aseeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ anyway kila la kheri Young Africa.πŸ’šπŸ’šπŸ’›
 
Hii wiki walau iwe nzuri kwangu jamani, iliyopita nimechapika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…