FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Yanga winger zake, zinahitaji dawa.
Tunahitaji winger katili.
Gamond atulize kichwa, timu inaweza hii
 
Nimetoka Chamazi mida hii hapa.

Ku unlock [emoji356] mambo ya Utopwinyox...
Hadi mechi ndogo hivi wadau wanakamia gizani.
Safari hii naona mmebadili gia kutoka kwa Mangungu anahujumu timu, Scout ya Simba inahujumu timu hadi kufikia kwa Yanga unaloga. Kama kuloga ni kupata mafanikio basi wacha waendelee kuloga
 
Screenshot_20240205-182528.jpg
 
Beki line ...... Huyu Gifty🙄🙄🙄... Mzito sana wajameniiiiii... Anuary Jabiri anaweza kutuharibia siku asee🙌🙌🙌 anyway kila la kheri Young Africa.💚💚💛
 
Hii wiki walau iwe nzuri kwangu jamani, iliyopita nimechapika sana.
 
Back
Top Bottom