uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Anajaribu kuongea aonekane mwema kaongea ujinga sana "historia za kijingajinga"Huyo Pascal Kabombe mwambieni aache usimba wake kwenye mechi za Yanga,kuna upuuzi ameongea hapo hakujua kama anasikika hewani