FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

Screenshot_20240314_192957_Instagram.jpg
 
Kila la kheri Chama langu Young Africans 💚💛💚 #DaimaMbele #NyumaMwiko
 
Toka yanga aanze kuchezesha majini soka limepoteza ladha kabisa...
 
Kila la heri Mamelodi sundowns
 
Huyo Pascal Kabombe mwambieni aache usimba wake kwenye mechi za Yanga,kuna upuuzi ameongea hapo hakujua kama anasikika hewani
 
Back
Top Bottom