FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

Points 3 za bahasha tena. Tuna watu wetu kule .. akina Yondani, Mahadhi na alma mater wengine wa Uto
 
Katika mechi ya leo nadhani tutaendelea kumuona SureBoy akiendelea kutumika kwenye nafasi ya kiungo kutokana na injury ya Aucho. Nategemea kumuona Mudathir akicheza kama double pivot na Sureboy huku mbele yao akicheza Aziz Ki kama namba 10. Hii ndio nafasi ya nzuri kwa Sureboy kuendelea kucop na timu hasa tunapoelekea kwenye mechi ngumu dhidi ya Mamelod maana sina hakika kama Aucho atakua amerudi na hata akiwa amerudi sidhani kama atakua fit kucheza
 
Mnaofuturu baadae mfuturu vya kutosha mpate nguvu ya kuwashangilia Wananchi.
 
Katika mechi ya leo nadhani tutaendelea kumuona SureBoy akiendelea kutumika kwenye nafasi ya kiungo kutokana na injury ya Aucho. Nategemea kumuona Mudathir akicheza kama double pivot na Sureboy huku mbele yao akicheza Aziz Ki kama namba 10. Hii ndio nafasi ya nzuri kwa Sureboy kuendelea kucop na timu hasa tunapoelekea kwenye mechi ngumu dhidi ya Mamelod maana sina hakika kama Aucho atakua amerudi na hata akiwa amerudi sidhani kama atakua fit kucheza
Aucho kaanza mazoezi Mamelodi sundowns watamkuta yupo fit
 
Aah Yanga tena

Mechi ifutwe Yanga apewe points zake kuliko kuwachosha hao wachezaji wa Geita hata wao wanafaham kuwa ni ratiba ila hawana chao!
 
Back
Top Bottom