FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Sababu za Mayele kukosekana kwenye kikos Ni zipi??
 
Mungu ibariki KMC
Mungu ibariki Tanzania
 
KMC wapo kwenye kiwango kizuri kwasasa, so nategemea wakiingia uwanjani kwa morali ya kuvuna points 3 ikishindikana hata draw. Yanga wajipange sana leo, wasitegemee easy slope
 
Tuisila mambio kama kawaida yake kaukosa mpira umetoka nje
 
Freekick kwa Yanga na Azizi Ki yupo nyuma ya mpira
 
Aiseee ilikuwa ni hatari ila kipa kaokoa
 
Hii kona Yanga wamefanya utoto wenyewe
 
Yanga wanawachezea KMC nusu uwanja lakini hata ile hatari ya mashambulizi hatuioni
 
Faulo aliyoicheza Mwanyeto ilikuwa ni yellow card
 
Back
Top Bottom