FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Hahahahahahaha huyu sasa ndio Azizi Ki tunaye mjua
 
Kiukweli yanga kuna tatizo kubwa sana katika safu ya ulinzi ...saivi beki pale ni mmja tu...Dickson job.

Uongozi inabidi ujitathmini
 
Oya mazee muda mfupi uliopita KMC wametembeza bonge la boli tuache masihara

Hawa madogo wameonesha mipango wakiwa na mpira wakati Yanga ambao wame dominate kwa muda mrefu hawajaonesha impact yeyote

Azizi Ki ananyang'anywa mpira na Aweso kiwepesi tu
 
Nabi anapigiwa makofi lakini yeye muda huu ana kibarua kigumu kutoa maelekezo kwa wachezaji wake
 
Back
Top Bottom