FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Makambo kapiga header nzuri lakini inakwenda nje na kuwa goal kick
 
Byebye kocha NABI....tunakushukuru kwa mchango wako..leo unbeaten record inavunjwa rasmi
 
Tunaaangalia tu hili pira....!

Ni kama Mgonjwa inabidi tu Ameze Klorokwini japo ni chungu...!

Yaani pira gani Papatu Papatu..!
 
Faida KMC katikati hawapigi kiatu zaidi wanajituma tu kuziba njia.
Aje Mauya chini kucheza na Bangala, juu acheze Bigirimana atoke Ambundo
 
Back
Top Bottom