FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

KMC wanapata freekick lakini Dickson Job anaokoa
 
Kwa maslahi mapana ya mkeka wangu leo sina budi kuwa msaliti, hela kwanza.
 
Tuisila anazomewa na mashabiki

Kapoteza mpira kiboya sana
 
Taratibu hii mechi naiona inakuja kuonesha uwezo halisi wa wachezaji ambao walisifiwa baada ya Derby
 
KMC hapa wameonewa, hili lilikuwa shambulizi ambalo lilikuwa na hatari sana kwenye lango la Yanga ila maamuzi ya refa sioni kama yalikuwa sahihi
 
Yanga wanacheza rough nyingi lakini mpaka saizi refa hajatoa kadi hata moja
 
Bila Bigirimana kuokoa ilikiwa hatari
 
Back
Top Bottom