FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

Wazeee wa comeback subiri tuone ila dua yangu hawa uto wapigwe tu waanze kurushiana mabegi huku mm nimekaa peee
 
Faulo kwa Zawadi Mauya

Kadi ya njano Kelvin Kigiri
 
Kadi ya kwanza ya njano ikienda kwa Kelvin
 
Hans Masood anafanyiwa madhambi Faulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…