[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mbindeeeeee, woiiiiiihHaya sasa mnasemaje? Mtoto halali na hela.
Nendeni mkalale sasa.
Duh mpira ulisikiliza kwenye redio au umesimuliwa?Yanga haikuwa na ubora wowote, kikubwa walikuwa na hali ya ushindi pamoja na morali ya upambanaji ndo vilivyokuwa vinawabeba,
Sasa taratibu pumba zinatengana na mchele.
Yaani walikuwa wanaomba mpira uishe.
Mamaeee
Angenyoosha kibendera cha offside kwa mchezaji gani aliyekuwa offside?Inaitwa ' Kushinda tumeshinda' ILA cha moto tumekiona...!
Ashukuliwe Line 2 kwa kutonyoosha Kibendera cha Offside
Karibuni kwa SambaLoketo hapo Kesho...
Ulikuwa wapi kutoa comment kama hii kabla ya mechi!?Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.
Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.
Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Umeanza kurudiwa na akili.Bado lugha za pointi 3 na marathon.Ikishinda Simba tena kwa goli 4 na goli 2 ohh mpira mbovu hakuna cha marathon na pointi 3.Kupendelewa ndio kumefanya mshinde.Hakuna ligi duniani timu inacheza nyumbani mechi 3 mfululizo. Unabisha itaje.Mnabebwa na vibahasha.Msimu uliopita mliacha pointi 4.Msimu huu pointi zote 6.Hizo ni msg tu, ila data na call inasoma 3 points
Na ndio muhimu kwenye marathon
Mkuu hao jamaa wanalewaga sifa hadi wanatia hasiraAlafu kuna mbuzi ina kuambia eti yanga ndo ana haki ya kuiwazia nusu fainali ya Cafcl, kwa mpira huu ? [emoji23]
Bora wewe unatambua ukweli, kuna watu humu wanaisifia Yanga pasipo kuwaambia ukweliKaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.
Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.
Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Sawa mtani,Umeanza kurudiwa na akili.Bado lugha za pointi 3 na marathon.Ikishinda Simba tena kwa goli 4 na goli 2 ohh mpira mbovu hakuna cha marathon na pointi 3.Kupendelewa ndio kumefanya mshinde.Hakuna ligi duniani timu inacheza nyumbani mechi 3 mfululizo. Unabisha itaje.Mnabebwa na vibahasha.Msimu uliopita mliacha pointi 4.Msimu huu pointi zote 6.
Kumbuka tu mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu! Na siyo watu wa kulia lia na kulalamika hovyo kama nyinyiKwa mpira huu tutarajie kocha kuanza kuoga matusi
Uki sikia inavyotajwa yanga unaweza kudhani ni Real Madrid njoo kwenye uhalisia sasaMkuu hao jamaa wanalewaga sifa hadi wanatia hasira
Yaani leo hii malalamiko fc sio watu wa kulalamika ? [emoji23][emoji23]Kumbuka tu mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu! Na siyo watu wa kulia lia na kulalamika hovyo kama nyinyi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inashindana na Namungo yenye msiba, goal la ndondokelaa.Yanga ukisikia inavyotajwa kwenye redio unaweza kudhani ni Real madrid kumbe utopolo mtupu
Propaganda ndio zinacheza mpira !?Hawana timu wala wachezaji wazuri ila ndo hivyo tu propaganda zina wabeba
Malalamiko fc ni nyinyi ambao kila siku ni kulalamika tu. Aisee ningekuwa kocha wa simba ningejiuzulu mara moja. Robertihno ana moyo wa chuma kuwavumilia mashabiki walalamishi kama nyinyi.Yaani leo hii malalamiko fc sio watu wa kulalamika ? [emoji23][emoji23]
Na hii bado sio perfect challenge kwa yanga! challenges tunaoneda kutana nazo Kwenye makundi club bingwa.Tunahitaji mshambuliaji wa kueleweka, kwingine siyo mbaya sana.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Akili zimeanza kuwarudia.Mtasema ukweli tu hivi karibuni.Tena mmecheza nyumbani.Propaganda ndio zinacheza mpira !?
Kumbuka soka sio kama 'tatu mzuka'. Hakuna timu duniani ilishawahi kuwa na consistency katika uchezaji kuachana na matokeo katika mechi zote. Kuna mechi muhimu ni alama tatu tu.
Ww njoo tuu mtani..ww tenaaTukaribishane mtani kesho kuangalia pira papatu papatu.
Ingekuwa ndo simba yangesemwa kila aina ya maneno ila kesho utasikia wanavyo sifiwa sasa
Ha ha ha tuwaulize na wao pamoja na huu ushindi wa asante kaze na nsajigwa wana furaha kweli??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inashindana na Namungo yenye msiba, goal la ndondokelaa.