FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Yanga haikuwa na ubora wowote, kikubwa walikuwa na hali ya ushindi pamoja na morali ya upambanaji ndo vilivyokuwa vinawabeba,
Sasa taratibu pumba zinatengana na mchele.
Yaani walikuwa wanaomba mpira uishe.
Mamaeee
Duh mpira ulisikiliza kwenye redio au umesimuliwa?
 
Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.

Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.

Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Ulikuwa wapi kutoa comment kama hii kabla ya mechi!?
 
Hizo ni msg tu, ila data na call inasoma 3 points
Na ndio muhimu kwenye marathon
Umeanza kurudiwa na akili.Bado lugha za pointi 3 na marathon.Ikishinda Simba tena kwa goli 4 na goli 2 ohh mpira mbovu hakuna cha marathon na pointi 3.Kupendelewa ndio kumefanya mshinde.Hakuna ligi duniani timu inacheza nyumbani mechi 3 mfululizo. Unabisha itaje.Mnabebwa na vibahasha.Msimu uliopita mliacha pointi 4.Msimu huu pointi zote 6.
 
Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.

Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.

Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Bora wewe unatambua ukweli, kuna watu humu wanaisifia Yanga pasipo kuwaambia ukweli
 
Umeanza kurudiwa na akili.Bado lugha za pointi 3 na marathon.Ikishinda Simba tena kwa goli 4 na goli 2 ohh mpira mbovu hakuna cha marathon na pointi 3.Kupendelewa ndio kumefanya mshinde.Hakuna ligi duniani timu inacheza nyumbani mechi 3 mfululizo. Unabisha itaje.Mnabebwa na vibahasha.Msimu uliopita mliacha pointi 4.Msimu huu pointi zote 6.
Sawa mtani,
Usipanick mchezo huu hautaki hasira
 
Na timu dhaifu ya Namungo ulimi nje.Na pamoja na kucheza nyumbani mechi 3 mfululizo. Itaje timu nyingine iliyocheza nyumbani mechi 3 mfululizo.Mbeleko FC.
 
Propaganda ndio zinacheza mpira !?
Kumbuka soka sio kama 'tatu mzuka'. Hakuna timu duniani ilishawahi kuwa na consistency katika uchezaji kuachana na matokeo katika mechi zote. Kuna mechi muhimu ni alama tatu tu.
Akili zimeanza kuwarudia.Mtasema ukweli tu hivi karibuni.Tena mmecheza nyumbani.
 
Back
Top Bottom