FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Makolo muelewe sisi ndiyo tumewafunga japo tumetoka sare... team ikitangulia ikisawazisha ni mmekikaliaaaaaaa
 
Uto wamesema wnjipima nguvu mechi hii waone kama watawez kumenyana na Club Africas sasa kama wameshindwa kupata ushindi ndo basi tena shirikisho groupe stage shirikisho wataisikia kwe radio.
 
Kama ndo kwa jinsi matopoz yalivyozidiwa walah mtapigwa nyingi sana nje huko
 
Uto wamesema wnjipima nguvu mechi hii waone kama watawez kumenyana na Club Africas sasa kama wameshindwa kupata ushindi ndo basi tena shirikisho groupe stage shirikisho wataisikia kwe radio.
Wewe ni mjinga ina maana simba alikuwa hazitaki hizi point 3?
 
Naaaam ni Full time kunako uwanja wa benjamin mkapa nani kasema Yanga hawaendi makundi?
 
Back
Top Bottom