FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Acha masihra mkuu. Kwamba wajerumani wameikamia Yanga? Hahaha
 
Acha masihra mkuu. Kwamba ujerumani imeikamia Yanga? Hahaha
Washambuliaji wa Augs wanatumia nguvu kubwa kiasi wamecheza foul nyingi.
Angalia mpira vizuri.
 
Tuwakumbushe Watu mnacheza na Timu kubwa.
Ilimaliza ligi ya Ujerumani nafasi ya 11.
Mkiifunga hakuna timu yakuwasumbua Africa.
View attachment 3047257
Wakati sisi tunacheza na Sevilla, Sevilla alikuwa nafasi ya 6 huku akiwa na tofauti ya alama 2 na timu ikiyoshika nafasi ya 4

Lakini mchukue huyo Augsburg aliyeshika nafasi ya 11 muongezee point 2 utamkuta bado yupo hapohapo kama Bismin wa posta.
 
Ligi ya Germany unaifuatilia vizuri!?
 
Washambuliaji wa Augs wanatumia nguvu kubwa kiasi wamecheza foul nyingi.
Angalia mpira vizuri.
Hao jamaa wangekamia na uzoefu walio nao tungekuwa tunaongea mengine saa hizi.
 
Halafu 1st 11 yao yuko mmoja tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hawakamii mbona wako regular tu Mzee?

Sema pale mbele una cabinet ya wasee (kama wamasai wanavyotamka) ndio maana unaona jamaa wanaka
 
Na ile timu ya Misri ilowafunga SITA ni daraja la ngapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…