FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Haijalishi bro kumbuka huyu kocha mpya na hana kikosi maalum cha kwanza.Pia ana wachezaji wa higher profile.
Umefuatilia game za Augsburg msimu uloisha?
Unajifariji boss. Sikia, hakuna beki ya kuwazuia hao jamaa wakiamua kukamia kuyatafuta matokeo against timu kama Yanga. Kitashuka kipigo FIFA itaingilia kati.
 
Unajifariji boss. Sikia, hakuna beki ya kuwazuia hao jamaa wakiamua kukamia kuyatafuta matokeo against timu kama Yanga. Kitashuka kipigo FIFA itaingilia kati.
Ndivyo unavyoona wewe.
Aya tusubiri mpira uishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…