Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sawa ila mi sioni hizo incidents za foul kuhusisha kukamiaTizama vizuri mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila mi sioni hizo incidents za foul kuhusisha kukamiaTizama vizuri mpira.
Umri wa mpira mkuuAkiwa na miaka 24 mimi nitakua na miaka 9
Unajifariji boss. Sikia, hakuna beki ya kuwazuia hao jamaa wakiamua kukamia kuyatafuta matokeo against timu kama Yanga. Kitashuka kipigo FIFA itaingilia kati.Haijalishi bro kumbuka huyu kocha mpya na hana kikosi maalum cha kwanza.Pia ana wachezaji wa higher profile.
Umefuatilia game za Augsburg msimu uloisha?
Ndivyo unavyoona wewe.Unajifariji boss. Sikia, hakuna beki ya kuwazuia hao jamaa wakiamua kukamia kuyatafuta matokeo against timu kama Yanga. Kitashuka kipigo FIFA itaingilia kati.
MagomaUtopolo
Tukiweka ushabiki pembeni Kwa usajil wa chama na dube.gsm anatakiwa awaombe mashabiki wa magoma fc msamaha.Hawakamii mbona wako regular tu Mzee?
Sema pale mbele una cabinet ya wasee (kama wamasai wanavyotamka) ndio maana unaona jamaa wanakaView attachment 3047264
Wamefanyaje kwani?Tukiweka ushabiki pembeni Kwa usajil wa chama na dube.gsm anatakiwa awaombe mashabiki wa magoma fc msamaha.
Kazi na umri kakaWamefanyaje kwani?
Football ClubMagoma
We kolo andika vizuri.Mkiokuwa mnaomba link
Umetumwa Weee UchocheziTukiweka ushabiki pembeni Kwa usajil wa chama na dube.gsm anatakiwa awaombe mashabiki wa magoma fc msamaha.