FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Kama ndoto vile ila Leo mji mzima wa Augsburg wanaangalia namna yanga wanavyotandaza soka
NB
Hii mechi inaweza kutupotezea wachezaji wa kutumainiwa hasa Bacca na Job endapo watakiwasha sana maana Augsburg watawachukua
Hahahahaha, acha uwoga mkuu ila ni kweli leo ma scout wataifutilia hii hasa toka Germany
 
Hiki kikosi kwa upande wangu hapana aisee! Nilitegewa kuona mastaa wote wanaanza. Akiwemo Boka, Dube, Baleke, na huyo Duke Abuye!

Halafu Pacome mbona hata sub hayupo!!
Wataumia! Hii ni pre season sio ligi kuu Babu!
Hawachezi dk 90 wanapokezana
 
Timu za Tz zinaendeshwa kienyeji sana. Huu ndio ulikuwa wakati wa kuuza jezi zao. Ajabu hii timu inaingia na magunya
 
Timu za Tz zinaendeshwa kienyeji sana. Huu ndio ulikuwa wakati wa kuuza jezi zao. Ajabu hii timu inaingia na magunya
Atanunua nani huko?

Angalia tu uwanjani hakuna hata mashabiki ndio uwapime mbali kwenye ishu ya jezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…