OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hata huko kwenye vibanda umiza mkuu. Nimeona pre-season match imekuwa na hamasa. Huko RSA hata kama sio kununuliwa,hata kuitangaza tu si habaAtanunua nani huko?
Angalia tu uwanjani hakuna hata mashabiki ndio uwapime mbali kwenye ishu ya jezi?
Baleke atarithi mikoba, kwa sasa hatuwezi kumchezesha kwa kuwa bado mambo hayajakamilika, tunaogopa kushtakiwa na ndio maana tunamfichafichaMatch ya leo bila Guede!😣😣😣😣😣
💚💚💚kapendeza mashallah
Anazingua Sana yaaniMzize bana
😂😂watu mna nongwaaHuyu mtangazaji mpaka sasa ameitaja Simba zaidi ya mara 6
Kabisa jamaa kasevu vizuriDiarra kafanya save nzuri
Wamkabidhi ofisi. Hamna namnaTeam magoma mukuje pande hizi
Simba ni brand bila kuitaja yenyewe bidhaa yako haiuziki.Huyu mtangazaji mpaka sasa ameitaja Simba zaidi ya mara 6
Akazane wamchukueBaka anafanya makukumu yake ya siku zote