FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Max bana

Tulia punguza papara magoli ya hivyo utafunga NBC huko

Hawa ni level nyingine
Wakati anapunguza papala anakua anacheza yeye na mwasibu pekee
Kutokana na tension ya game naweza kusema hajakosea
 
Aucho amessfiri ila hayupo hata benchi sijajua labda ni ishu ya fitness maana Aucho, Musonda na Diarra ndio wachezaji pekee waliochelewa kuripoti kambini.
Ila hii game ilimuhitaji sana.
Sureboy amekuwa mdogo sana
 
Back
Top Bottom