uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Umeongea kisoka kabisaMax bana
Tulia punguza papara magoli ya hivyo utafunga NBC huko
Hawa ni level nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kisoka kabisaMax bana
Tulia punguza papara magoli ya hivyo utafunga NBC huko
Hawa ni level nyingine
Wakati anapunguza papala anakua anacheza yeye na mwasibu pekeeMax bana
Tulia punguza papara magoli ya hivyo utafunga NBC huko
Hawa ni level nyingine
Hatimaye umerudi. Karibu tena Mtani.Hakuna kukaa na mpira zaidi ya sekunde 3 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tunaomba link jamaniUmeongea kisoka kabisa
On the other hand, wamejitahidi sana kuzuia magoliUto wameweka rekodi ya kutofungwa na mzungu mpaka dk ya 36.
Aucho amessfiri ila hayupo hata benchi sijajua labda ni ishu ya fitness maana Aucho, Musonda na Diarra ndio wachezaji pekee waliochelewa kuripoti kambini.How about Aucho?
Ila hii game ilimuhitaji sana.Aucho amessfiri ila hayupo hata benchi sijajua labda ni ishu ya fitness maana Aucho, Musonda na Diarra ndio wachezaji pekee waliochelewa kuripoti kambini.
Azam MaxTunaomba link jamani
Yes Yao pia na MaxChama na Aziz ndo wamecheza vizuri first half. Diara best player.
[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji870][emoji870][emoji870]Hatimaye umerudi. Karibu tena Mtani.
😁😂😂😁😁😁😂😂😂😂😂😂😁😁
BaelezeeIla Yanga hapa wanacheza na wajerumani si Namungo.