Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Salamaleko shekheDuh!
Mechi saa 2 na robo
Uzi saa 6 usiku🙄
Tulia weweeeHata Maghayo na genge lake wakivaa Uzi wa Yanga Makolo + APR hawatoki na ushindi..
Anaendelea vizuri kesho anaweza akawepo dimbaniHivi vipi ripoti ya Okrah Magic wale wa Sudan sijui walitumwa na makolo
CAF wamesema idadi ni 27 tuu, na huyu akiongezeka atakuwa amezidi idadi hairuhusiwi.Hivi clement mzinze kwa nini hajaitwa timu ya taifa?
Ooh! Sawa jirani.
Ulikua unawahi nini?