Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaMiguel Gamond, tunaomba upange kikosi cha ushindi. Maana huo ushindi unatakiwa upatikane ndani ya dakika 90 za mchezo. Siku zote penati hazina mwenyewe.
Tukitolewa nitalia sana yaani sana😭😂🤣Lolote liwakute maana mlisema hamna haja ha haya mashindano...
Dear Utopox.Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
View attachment 2864134
Hata kama ni ushabiki ila hii sasa imezidi aiseee, niliwahi kusema humu kwa huu utoto wa kuanzisha hizi thread za match ni bora tu mods wakwa wanaanzisha wao hizi nyuzi.Uzi unaanzishwa mapema sana km bao la mbakaji....
Baadae tutaona kaka 😂🤣🤣😁Dear Utopox.
You are journey ended here.
Amen!
Sorry for this.
Wananchi tuko mbele ya mudaMechi saa 2 na robo
Uzi saa 6 usiku🙄
Unataka nirekebishe titlle isomekeje mkuu? Nakurekebishia sasa hivi.
Tutaona, nshajua mbinu yenu yakutukimbia fainaliBaadae tutaona kaka 😂🤣🤣😁
Mkongwe!!Ulikua unawahi nini?
Halafu mnaoanzisha Uzi wa live game hebu jifunzeni kwetu cc wakongwe jinsi tulivokua tunaandaa Uzi... Weka details za kutosha na picha.. yaani sio unandaa uzi kama unakimbizwa
Hawataamini.Mtashangazwa leo
😂🤣😁😁Hamna kakaTutaona, nshajua mbinu yenu yakutukimbia fainali
Anafungwa na nani?Kwa vyovyote lazima afungwe tu huyu APR Maana jmhakuna jinsi