FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Hata kama ni ushabiki ila hii sasa imezidi aiseee, niliwahi kusema humu kwa huu utoto wa kuanzisha hizi thread za match ni bora tu mods wakwa wanaanzisha wao hizi nyuzi.
Hujawahi kujibu hoja pia.
Inavunja sheria gani ya jf?
 
Screenshot_20240107-193128.jpg
 
Squad ya Gamondi kwenye Mapinduzi ni ile ile (wachezaji wasiopata nafasi first eleven)
 
Back
Top Bottom