FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Ina maana Mzize na Zengeli huwa hawapati nafasi kwenye first eleven? Umbumbumbu ni mzigo! Wachezaji huanza 11 kwa sababu hiyo ndiyo idadi inayotakiwa. Haina maana kwamba ambao hawajaanza so waziri. Ndiyo maana huwa inawezekana kufanya "rotation". Msianze kutafuta visingizio mtakapokandwa.
Nzengeli umemuona kwenye first eleven? Mbona umeishia kutaja hao wawili tu vipi ndio wameishia au kuna wengine?
 
wanasawazisha kuanzia hapo.
free kick kwetu APR
 
Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!
Mbona hamkuwafunga KVZ pamoja na kuweka wachezaji Senior kipindi cha pili? Ulisha fuzu unatumia energy kubwa ili iweje?
Mashindano yenyewe Mapinduzi.
Jitahidi kufikiria itakusaidia maishani.
 
Back
Top Bottom