FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Mbona hamkuwafunga KVZ pamoja na kuweka wachezaji Senior kipindi cha pili? Ulisha fuzu unatumia energy kubwa ili iweje?
Mashindano yenyewe Mapinduzi.
Jitahidi kufikiria itakusaidia maishani.
Kama mlishafufuzu kulikuwa na maana gani kumuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution?????
 
Kama mmeshagundua assist za Mzize huwa ni tamu sana.

Nimepitia pitia hapa.
Ile ya Mawizad ilikuwa nzuri zaidi
 
Hii game ilikuwa sio ya kumuita yao,aucho wala pacome,ni matumizi mabaya ya nguvu.
Hii mechi ni ya vijana chipukizi lakini simba a.k.a makolo Mbumbumbu wakapanga first eleven na bado wakatoa suluhu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Hii game ilikuwa sio ya kumuita yao,aucho wala pacome,ni matumizi mabaya ya nguvu.
Hii mechi ni ya vijana chipukizi lakini simba a.k.a makolo Mbumbumbu wakapanga first eleven na bado wakatoa suluhu.
Wameitwa wapi?
Umewaona?
Ilikuwa propaganda tu
 
Back
Top Bottom