FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
View attachment 2864134
1000028205.jpg

All the Best Chama langu!
#Daimambelenyumamwiko#.

Can't wait kushuhudia burudani.
 
All the best kwa timu ya Wananchi. 💛💚 Naamini kuanzia hii hatua mliyopp sasa, hamtacheka tena na nyani. Yaani kila atakayejitokeza mbele yenu, ni kugonga tu mishale ya kutosha.
 
Hata kama ni ushabiki ila hii sasa imezidi aiseee, niliwahi kusema humu kwa huu utoto wa kuanzisha hizi thread za match ni bora tu mods wakwa wanaanzisha wao hizi nyuzi.
Kuna shida gani mtu kuanzisha uzi wake?

Au kuna zawadi inayotolewa sasa wanakufanya usipate?
 
Back
Top Bottom