FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Hii 5~1 ambayo yanga wanatamba nayo kila siku inatofauti gani na ile tuliyowafunga 5_0 maana zote ni past events
 
Mzize na Mauya wamechoka sijui kocha haoni
Kwanini Mzize anachoka mapema? Tulitarajia kinda kama yeye (19yrs) awe na pumzi ya kutosha, badala yake anazidiwa na akina Onyango.
 
Ila nasikia harufu ya nuksi kwenye haya mashindano.
 
Haya walevi tupande boti kesho tukaendelee kulewa.
Watu wanasajili wachezaji uto tunasajili kina Piere
 
Jina Linapendeza tu kwa suffix yoyote ile...

Utopolo..

Utopox...

Utopwinyo...

........

Ndo Mpira Ulivyo Wana Utopolo... Japo najua mtasema Kilikuwa Kikosi C...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…