Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konkoni ni Kibu Denga aliyechangamka kiufungaji, Sure Boy ni Boko aliyechangamka kiumri....[emoji1]Wachezaji walompita kushoto GAMOND
KONKON
SURE BOY
Kwanini Mzize anachoka mapema? Tulitarajia kinda kama yeye (19yrs) awe na pumzi ya kutosha, badala yake anazidiwa na akina Onyango.Mzize na Mauya wamechoka sijui kocha haoni
Wachawee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tutawafundisha Simba jinsi ya kuwafunga Apr
Ana kweli kulia kupokezana.GAMONDI mbinu Hakuna..
Anatembelea tu timu ya NABI..
Kuna mambo ya msingi ya kusikitika, sio hiliInasikitisha sana
Kipi kikusikitishacho?Inasikitisha sana
Hamisi Naanguka si yupo 😀😀😀