FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Nyie wapuuzi mmeona muiaibishe nchi?Yaani nimeaibika sana Leo,Yanga inabidi mfukuzwe nchini mpelekwe Kongo huko.
Kabisa na tuwape yanga hongera kwa kuumiza mipango yao uwanjani haha
 
Basi ni kocha mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mnataka kuleta chokochoko ili mashabiki fuata upepo wajae ili ishinikizwe afukuzwe. Upepo wa Nabi hakuwahi kuwafunga tano, huyu Gamondi bado mnaye mzee zile tano alizowazaba bado mtazikuta kwenye ligi na FA huko ndio kunakotambulika na FIFA. Mapinduzi mnaachiwa wenye kombe lao
 
Aucho,Pacome,Yao,Maxi,Sure boy....hawana majukumu yoyote,wanapumzishwa kwa kazi labda waliofanya
Max walimleta kama geresha tu kwenye mechi moja.
Sasa hivi yuko kwao mapumzikoni huku mashindano yakiendelea!!
 
Atatutambua wabongo mbona amuulize Nabi amwambie msoto wake .

Wabongo tunataka ushindi tu mengine hapana
Kazi kweli kweli
Alishanusa thahma inakuja mara sina kikosi kipana, mara hawapambani. Tuliosoma Cuba ya Kwa Mtogole tukajua kumekucha😁
 
Naiona Yanga ikifungwa na kudraw mechi kadhaa baada ya league kuu kuresume.Mark my words
 
Utopolo wamepewa rushwa ya tende na aluaπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…