Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,471
- 2,891
Kabisa na tuwape yanga hongera kwa kuumiza mipango yao uwanjani hahaNyie wapuuzi mmeona muiaibishe nchi?Yaani nimeaibika sana Leo,Yanga inabidi mfukuzwe nchini mpelekwe Kongo huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa na tuwape yanga hongera kwa kuumiza mipango yao uwanjani hahaNyie wapuuzi mmeona muiaibishe nchi?Yaani nimeaibika sana Leo,Yanga inabidi mfukuzwe nchini mpelekwe Kongo huko.
SureboyMudathir yahaya
Atatutambua wabongo mbona amuulize Nabi amwambie msoto wake .Huyu Baba siku za karibuni Hana Raha kabisa🤓🤓
Najua mnataka kuleta chokochoko ili mashabiki fuata upepo wajae ili ishinikizwe afukuzwe. Upepo wa Nabi hakuwahi kuwafunga tano, huyu Gamondi bado mnaye mzee zile tano alizowazaba bado mtazikuta kwenye ligi na FA huko ndio kunakotambulika na FIFA. Mapinduzi mnaachiwa wenye kombe lao
Max walimleta kama geresha tu kwenye mechi moja.Aucho,Pacome,Yao,Maxi,Sure boy....hawana majukumu yoyote,wanapumzishwa kwa kazi labda waliofanya
Hii inaitwa hatukosi cha Kusema...!Hili kombe tunalijua madhara yake tumetoka ki mkakati huku tukiwa na shangwe tele moyoni.
Alishanusa thahma inakuja mara sina kikosi kipana, mara hawapambani. Tuliosoma Cuba ya Kwa Mtogole tukajua kumekucha😁Atatutambua wabongo mbona amuulize Nabi amwambie msoto wake .
Wabongo tunataka ushindi tu mengine hapana
Kazi kweli kweli
()()()Kikosi kipana kimepanuliwa
Utopolo has fallen 😂😂😁😁😁()()()
Hutaamini kesho Simba wakifanya hivi hivi.Kikosi kipana kimepanuliwa
Sidhani kama Hersi alikuwepo. Maana yule ndio mzee wa kucheza game za nje ya uwanja.Yanga hawana kikosi kipana na pia bila bahasha hawatoboi
Skudu kajivunja....kaenda nje,Lomalisa kaenda nje,ili iweje sasa?Max walimleta kama geresha tu kwenye mechi moja.
Sasa hivi yuko kwao mapumzikoni huku mashindano yakiendelea!!
No fall hapa.Utopolo has fallen 😂😂😁😁😁
Basi watadanganyana vijiwe kwamba halitaki kombe. Bora kesho matshirt Yao ya mboga mboga yapumnzike.Hakuna asiyetaka ushindi tusidanganyane