FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Jana kwenye press kocha msaidizi wa yanga alisema " kesho tunaingia na kikosi bora, kwetu sisi ushindani katika hii michuano unaanza rasmini, wachezaji wote wako vizuri ""
Unaweza kudhani nazungumza kishabiki....ni rahisi kuwa emotional kuliko rational

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakuheshimu!!, Nilivyochukia naweza kutuma mizimu yangu ikashusha busha!.
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜Leo gamondi kazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…