FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Yanga alikiwa aliwe bao 6 maana APR walipata clear chances wakashindwa kuzitumia.
Kama ile nyingine wapo theough on goal 3v 1 dhidinya kipa eti wanakosa. Hawa jamaa ni wachoyo sana wakifika pale mbele ya goli. Nadhani wanataka wasajiliwe na hawa kurwa na doto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…