Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Benchi la ufundi halihusiki hapo, tumecheza na vibonde wetu na TUMEPIGWA na vibonde wetu full stop 😁Huu mchezo ni wa benchi lote la ufundi jumlisha na kina Hersi Said
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benchi la ufundi halihusiki hapo, tumecheza na vibonde wetu na TUMEPIGWA na vibonde wetu full stop 😁Huu mchezo ni wa benchi lote la ufundi jumlisha na kina Hersi Said
Hata sisi hatulitakiiiKwa hiyo Mtani hapo kombe lenu eee?
ZetuTupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
View attachment 2864134
View attachment 2864968
Takwimu za kipindi cha kwanza.
Ila bado inaitwa YangaAcha uRage Simba alifungwa APR wapi!?
Simba alitoa sare ya bila bila...
Yanga ni Kikosi C ndicho kinafungwa na APR.
Vale[emoji23]Nimeamini uchawi upo
Kama ile nyingine wapo theough on goal 3v 1 dhidinya kipa eti wanakosa. Hawa jamaa ni wachoyo sana wakifika pale mbele ya goli. Nadhani wanataka wasajiliwe na hawa kurwa na dotoYanga alikiwa aliwe bao 6 maana APR walipata clear chances wakashindwa kuzitumia.
HahahahahhMiguel Gamond, tunaomba upange kikosi cha ushindi. Maana huo ushindi unatakiwa upatikane ndani ya dakika 90 za mchezo. Siku zote penati hazina mwenyewe.
Sii mchezo jamaa walikuwa wanasakata tuu fabo. Haya mrudi mjipange sasa caf champions leagueHebu huko we Mzab. Moto huo veeeepee. 🤣🤣🤣
Vipi rafiki umeshanyamaza???Tukitolewa nitalia sana yaani sana😭😂🤣
Usijali Mtani. Hapa tunaenda kujipoza na AFCON kisha tunarudi kuendelea na mengine.Sii mchezo jamaa walikuwa wanasakata tuu fabo. Haya mrudi mjipange sasa caf champions league
Na nyie leo mnanyonyolewaSikuwepo ndo nimekuja asubui hii mtani..poleni ..
Kinehe?
Hiyo haipo...mark my words..Na nyie leo mnanyonyolewa