FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

All the best kwa timu ya Wananchi. πŸ’›πŸ’š Naamini kuanzia hii hatua mliyopp sasa, hamtacheka tena na nyani. Yaani kila atakayejitokeza mbele yenu, ni kugonga tu mishale ya kutosha.
 
Hata kama ni ushabiki ila hii sasa imezidi aiseee, niliwahi kusema humu kwa huu utoto wa kuanzisha hizi thread za match ni bora tu mods wakwa wanaanzisha wao hizi nyuzi.
Kuna shida gani mtu kuanzisha uzi wake?

Au kuna zawadi inayotolewa sasa wanakufanya usipate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…