FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Nzengeli umemuona kwenye first eleven? Mbona umeishia kutaja hao wawili tu vipi ndio wameishia au kuna wengine?
 
wanasawazisha kuanzia hapo.
free kick kwetu APR
 
Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!
Mbona hamkuwafunga KVZ pamoja na kuweka wachezaji Senior kipindi cha pili? Ulisha fuzu unatumia energy kubwa ili iweje?
Mashindano yenyewe Mapinduzi.
Jitahidi kufikiria itakusaidia maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…