FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

DonDonald

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,548
Reaction score
2,755
1000193912.jpg

1000194131.jpg


Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi

Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila

Je Yanga leo watapindua meza au wataaga mashindano hayo
 
Mimi nasubiria kusikia kama Pilau limeshaletwa uwanjani ndio naanze kwenda
 
Nawahakikishia kuwa silver hawatafunga hata goli moja kesho

Lile lilikuwa bahati tu
Duke abuya na muda wakiwepo hiyo uchizi hata kupumua hatoweza
 
Nawahakikishia kuwa silver hawatafunga hata goli moja kesho

Lile lilikuwa bahati tu
Duke abuya na muda wakiwepo hiyo uchizi hata kupumua hatoweza
Lazima Bacca amrukie Uchizi kwa jinsi siku hizi alivyo chizi halafu apewe umeme..
 
Back
Top Bottom