Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Aliomba sub mwenyewe ila hakutakiwa kutoka kabisaPole dube
Huna bahati
Lakini pia kumtoa kwenye moment ile ni kuendelea kuuwa saikolojia yake
Aliomba sub mwenyewe ila hakutakiwa kutoka kabisaPole dube
Huna bahati
Lakini pia kumtoa kwenye moment ile ni kuendelea kuuwa saikolojia yake
Amen Amen! Yanga bingwa 💚🙇💛💛🖤💪
Upo sahihi japo watu wanamchukulia poa Doumbia ila ni bonge la mchezaji. Kwenye swala la fitness naona ni changamoto ya wachezaji wengi wa Yanga msimu huu hawana fitness. Uongozi walifanyie kazi hili la mwalimu wa fitnessTimu yetu fitness za wachezaji ziko chini mno.
Doumbia nimemfatlia sana leo ni bonge moja la mchezaji.
Brain yake ya mpira ni kubwa sana.
Ana u Iniesta kama u Pedri fulani.
Changamoto kubwa ni fitness.
Hivi ni nani aliyeshauri kumsajili Boyeli?Angalau Yeye maana ndio tuliyenaye boyeli hata kutuliza ni shida
Yaani tuseme leo alikuwa na siju mbaya kazini nafasi ile aliyokosa mpaka mwenyewe akaomba sub pale hata mwenyewe haamini
Amemnyima pacome assist leo za kutosha sana
Dube aache kucheza kwa pressure
Lakini tusiwakatie tamaa wachezaji wapya, tukumbuke walikuwa wanasimamiwa mazoezi na kocha wa namna gani. Kaja kocha mpya anaweza kusawazisha mambo kwa wachezajiHivi ni nani aliyeshauri kumsajili Boyeli?
Mkuu boyeli yupo kwa mkopo nadhani kule south ndio wameua kiwango chake alipokuwa Zambia alikuwa vizuri sanaHivi ni nani aliyeshauri kumsajili Boyeli?
3/11/2025Hivi droo ya makundi wanapanga lini