Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Nilikuwa mbele ya muda, nipewe maua yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gooooooooooooa Pacomeeeeeeee
Yanga 2 SL0
Nilikuwa mbele ya muda, nipewe maua yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gooooooooooooa Pacomeeeeeeee
Yanga 2 SL0
Huyu jamaa Folz alikuwa anamkosea sana kumuweka nje. Huyu kuupiga mwingi ni kawaida yake kumbuka ile derby ambayo Simba anakufa 2:0Ila duke abuya dah [emoji91]
Tate Mkuu ulimpigia simu nini? Kijana anakiwasha sana
Halafu huyu eti ndio alikuwa anawekwa benchi la andambwile!!
Folz angekuwepo, Duke Abuya angeachwa nje! Na Aziz Andabwile kama kawaida, angeanza. Jamaa alikuwa anamuelewa sana. Yaani kila mechi ilikuwa ni panga pangua!!Ila duke abuya dah 🔥
Tate Mkuu ulimpigia simu nini? Kijana anakiwasha sana
Halafu huyu eti ndio alikuwa anawekwa benchi la andambwile!!
Dube amalize huu msimu aondokeIla dube dah
Build yake nzuri sana ila finishing sasa ndio kimbembe kwake
Pale alipokosa goli lile na goli la pacome.kuna tofauti gani?? Mwenzake pacome kaweka ila yeye akakosa dah..
Hukuona kipa alizuiliwa kucheza mpira kabla ya goli?Refa kawatoa jamaa mchezoni sana ...offside za kipuzi na kukataa magoli jamaa wametoka mchezoni kutokana na refa
Hamna kitu, bakora zitawatembelea hadi wasahau njia ya kwenda kwao.Aisee huyo ndio roho ya Yanga kwasasa, hiyo mechi bado ngumu labda Yanga ingekuwa inaongoza kwa tofauti ya goli 3 ama 4. Kwa hapa ilipo bado ngumu kwasababu hawa jamaa wanafika sana golini kwa Yanga.
Sema faza nimegundua unaujua sana mpira wa miguu asee!!!Mohamed Doumbia anatakiwa aangalie clip za Stepahanie Aziz Kii, aone namna alivyokuwa ana nguvu na uwezo wa kufunga. Namuona yuko mayai mayai sana.
Ajari kazini, haina sababu ya kumlaumu kijana.Ila dube dah
Build yake nzuri sana ila finishing sasa ndio kimbembe kwake
Pale alipokosa goli lile na goli la pacome.kuna tofauti gani?? Mwenzake pacome kaweka ila yeye akakosa dah..
Respect 📌🔨Sema faza nimegundua unaujua sana mpira wa miguu asee!!!
Imekuje huko?Duh Lupopo, yaani unapata advantage ya kushinda goli 3 first leg halafu unashindwa kuingia na mbinu za kulinda ulichopata!
Na hii aliyokosa tena now ni ajali kazini?Ajari kazini, haina sababu ya kumlaumu kijana.
Aggregate 3:3 sasa ni mwendo wa mikwaju ya penatiImekuje huko?
Soka ndivyo lilivyo, kukosa au kupata vyote ni ndani ya game, muda ni muamuzi wa mwisho.Na hii aliyokosa tena now ni ajali kazini?