Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 758
- 1,819
Wanamuogopa hadi wameomba msaada wa refaUchizi Vunga
Wanamuogopa hadi wameomba msaada wa refaUchizi Vunga
Simba ka mdomoRefa kawatoa jamaa mchezoni sana ...offside za kipuzi na kukataa magoli jamaa wametoka mchezoni kutokana na refa
Pacome ZouzowaWanamuogopa hadi wameomba msaada wa refa
Ukiona inauma sana unaweza kuchomoa pole pole alafu ujambe kwanzaa..Refa kawatoa jamaa mchezoni sana ...offside za kipuzi na kukataa magoli jamaa wametoka mchezoni kutokana na refa
Nasemaje hapa bado utabiri wangu ni ule ule 4 kwa bila bado mbili sisi hizo sio shida zetuRefa anawanyonga tu. Wangeshakuwa na goli.
Anaonekana kama anachechemea kwenye kisiginoPacome kama hayupo fit, coach amtoe aingie Ecua
chaneli mzuri yakuangalia live niipi wakuu nipombali na tv yangu
Aisee huyo ndio roho ya Yanga kwasasa, hiyo mechi bado ngumu labda Yanga ingekuwa inaongoza kwa tofauti ya goli 3 ama 4. Kwa hapa ilipo bado ngumu kwasababu hawa jamaa wanafika sana golini kwa Yanga.Pacome kama hayupo fit, coach amtoe aingie Ecua
Naunga mkono hoja bado ana madhara makubwa labda baadae kidogo ndio atoke ila sio sasa dakika za 70 ndio atoke huyu ndio main target yetuAisee huyo ndio roho ya Yanga kwasasa, hiyo mechi bado ngumu labda Yanga ingekuwa inaongoza kwa tofauti ya goli 3 ama 4. Kwa hapa ilipo bado ngumu kwasababu hawa jamaa wanafika sana golini kwa Yanga.
Ecua hayupo subPacome kama hayupo fit, coach amtoe aingie Ecua
Naunga mkono hoja bado ana madhara makubwa labda baadae kidogo ndio atoke ila sio sasa dakika za 70 ndio atoke huyu ndio main tarAisee huyo ndio roho ya Yanga kwasasa, hiyo mechi bado ngumu labda Yanga ingekuwa inaongoza kwa tofauti ya goli 3 ama 4. Kwa hapa ilipo bado ngumu kwasababu hawa jamaa wanafika sana golini kwa Yanga.
Halafu tunauingiza kwa Simba kama kawaida yetu mkuuLeo naona mwiko mnauchomoa
Azamtv Max bonyeza playstorechaneli mzuri yakuangalia live niipi wakuu nipombali na tv yangu