Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Gooooooooooooa Pacomeeeeeeee
Yanga 2 SL0
Yanga 2 SL0
Unaangalia Tom and jerry mkuu
Yanga inaongoza kwa goli moja.Dah tunakosa uhondo jmn, kwan mpaka sasa hakuna goli?
KivipiUnaangalia Tom and jerry mkuu
Refa anawanyonga tu. Wangeshakuwa na goli.Nawahakikishia kuwa silver hawatafunga hata goli moja kesho
Lile lilikuwa bahati tu
Duke abuya na muda wakiwepo hiyo uchizi hata kupumua hatoweza
Kibendera anawabania jamaa kinomaMuda anautakaaa mchezoooo 😃
Kabisa jamaa wamefunga goli l wazi kabisaRefa anawanyonga tu. Wangeshakuwa na goli.
Umetisha MwananchiGooooooooooooa Pacomeeeeeeee
Yanga 2 SL0